.

Jinsi Ya Kujifanyia Tathimini Ya Wiki...!

Na: Paul Masatu

Ninapo fanya tathmini yangu ya wiki, ninapo angalia jinsi wiki yangu ilivyokuwa very busy na shughuri nyingi(activities), nimegundua kitu muhimu ambacho najisikia ku share nanyi hii leo.

Hizi shughuri nyingi (activities) zilizo ni keep busy the whole week, zimegawanyika katika mafungu mawili( nitatumia zaidi neno Activities)

1. Urgent

Aina ya kwanza ya activities ni zile nazoweza kuziita urgent, yaani shughuri za dharula, hizi mara nyingi zina jiibua mara kwa mara katika ratiba yako ya siku/ wiki, na zina hitaji immediate attention, hizi shughuri/ action mara nyingi ni rahisi kuzifanya, very pleasure to do, na ni very simple kuziona, na mara nyingi zina msukumo mkubwa wa kutaka tuzifanya, na kama nilivyo kuambia they are urgent lakini siyo important, na ukifanya uchunguzi wa ndani utagundua sehemu kubwa ya hizi activities unazifanya kama matokeo ya tabia yako, na MBAYA ZAIDI mostly of these urgent activities hazikufikishi popote, zinaendelea kukupa matokeo yale yale, no progress kwenye maisha kama utakuwa ni mtu wa ku deal na urgent activities only.

2. Important.

Aina ya pili ya activities, zinaitwa important, hizi ni zile shughuri muhimu mimi kuzifanya, ni muhimu kwasababu, nikizifanya hizi ndiyo zinanifikisha kwenye malengo yangu, ni muhimu kwasababu, zina contribute to my mission to my value, they are important to my better life, lakini JAMBO LA KUSIKITISHA hizi important activities, hazionekani sana, au hazipo kabisa in my busy shedle ya wiki yangu hii iliyoisha, nimekuwa busy reacting to urgent activities lakini important activities hazionekani kabisa kwenye list yangu ninapofanya tathmini.

Hii maana yake nini, kama nitaendelea hivi, ni  ngumu sana kutimiza malengo yangu, ni ngumu sana ku improve my life, kama list yangu ta activities itajaa tu urgent activities kama kupokea simu, ku entertain wageni au marafiki wanao ibuka ghafra kwenye muda wakazi, kama ratiba yangu itajaa tu shughuri muhimu kama kula, kulala, kwenda chooni, kwenda kazini n.k zile shughuri zinazo endana na tabia yangu ya sasa tu, itakuwa ngumu kuona matokeo mapya kwenye maisha yangu.

Important activities zennyewe they are not urgent, they are not to pushy, yaani hazina kabisa msukumo wa kuzifanya, ni rahisi kuzi ignore, kwasababu nyingi ni contrary na tabia yako uliyo nayo sasa, lakini kama unataka kuona mabadiliko kwenye maisha yako, wiki yako isijae tu urgent activities, lakini pia kuwe na important activities nyingi.

~Paul Masatu

Previous
Next Post »