Na : Meshack Maganga - Mafinga.
Makundi mbali mbali ya wakulima na wajasiriamali wa Kilimo, wamekuwa wakinipigia
simu na
kunitumia meseji wakiniomba niwapeleke kwa Rich Dad wangu wa
Mafinga. Jana hii niliwapeleka wakulima watano, mmoja kutoka Mtwara na
wengine kutoka Iringa Mjini. No matter where you go, you're still you.
Great man and woman don't always start out great.
Sign up here with your email