Na: Meshack Maganga- Iringa.
Uendelezaji wa misitu Tanzania. Kuna uhusiano mkubwa kati ya binadam,
viumbe vingine na misitu. Kwenye misitu tunapata
Mbao, nguzo, dawa
asilia, chakula, hewa safi, makazi, kuni, asali nk. Kingine ni
uwekezaji wa muda mrefu na mfupi Kwenye miti.
Nimebahatika kuhudhuria
mafunzo ya bila malipo jinsi ya kutunza shamba la Miti ya nguzo na
Mbao. You don't need to be lucky to make money. Remember, a car can be
supplied and gassed up to the max, but it still won't go anywhere if
someone doesn't start the engine and press the accelerator. The choice
is up to you nobody else. Go big or go home.
Sign up here with your email