.

Mambo Yanayoweza Kukusaidia Kufikia Malengo Yako Ya Wiki Hii. ..!



Na: Paul Masatu. 

Wiki nyingine ndiyo hiyo imeanza wadau, ni vizuri kukumbushana mambo muhimu yatakayo tusaidia kuwa more productive this week
Jambo la kwanza ni kuhakikisha unafahamu kwa ufasaha nini unataka ku achieve this week,  kitu gani unataka kukipata( what do you want). Unahitaji kuwa na
lengo lako, ambalo unataka kulitimiza wiki hii goli lako wiki hii ni nini?
Jambo la pili unalotakiwa kufanya ni kuwa na utaratibu fulani( mimi nauita simple plan) ambao utakuwa unaufuata, utakao kuwa unakuelekeza hatua za kuchukua, nini utafanya kuelekea kwenye kutimiza hilo lengo lako. The plan should be simple, don't complicate, hili ni muhimu kwasababu usipo kuwa na muongozo wa nini cha kufanya, its easy to loose focus.
Unapokuwa unachukua hatua kufuata hiyo simple plan,  au huo muongozo wako, kuna vitu viwili vya kuzingatia, Time and Speed. Usiwe slow and steady, chukua hatua za kutosha, do enough, unajua ili ndege iweze kuruka inatakiwa ifike at a certain speed, siyo kila speed inaiwezesha ndege kuruka. Na wewe ni muhimu kujiuliza hizi hatua ninazo chukua following my plan, zinaweza kuniwezesha kweli ku take off? Kuweza kufikia malengo yako, kuna kiwango cha activities na action inabidi ukifikie, kwa hiyo ni muhimu kujiuliza this very important question " Are you doing enough?"
Jambo la mwisho ninalo kushauri kulishughurikia, ili uwe na more productive week ni "Your mind set"
You need to develop a wining mind set, personal development itakujengea hiyo winning mind set.
#Una mpango wa kuhudhulia mkutano wowote kwa ajili ya your personal development this week?
# Una mpango wa kusoma kitabu chochote this week
# Unampango wa kusikiliza DVD mpya this week.
Kujibu maswali hayo hapo katika namna ya kuchukua hatua, kutakufanya kuwa katika namna nzuri ya ku develop winning mind set.
~Paul Masatu
 
Previous
Next Post »