.

What You Don't Know Makes You Poor



Meshack Maganga,  IRINGA.
"What you don't know makes you poor" Kilimo cha Matunda Aina ya Parachichi.  Nimejifunza kwa muda mrefu sana. Nimeamua kuchukua hatua ya kupanda miche mia 8 sawa na ekari mbili.
Miaka miwili nilimsikia Albert Nyaluke Sanga ambae pia ameandikia kitabu  kinachouza sana kwenye
mtandao alichokipa jina la "Mafanikio Ni Haki Yako" ; Akisema Unaweza kuwekeza kwenye miparachichi na ukawa unaingiza zaidi ya milioni 4 kwa ekari moja unapovuna kila mwaka. 
Kwakua nilikuwa nimejikita sana kwenye kilimo cha miti ya mbao na nguzo,  "nilimpotezea" maana niliona anatania. Mwanzoni mwaka huu nilisoma makala moja iliyokuja kuibua wazo la parachichi na kulifanyia kazi kabisa.

Nimeandaa hiyo miche. Kweli what you don't know makes you poor. Sikujua nitaanza kuvuna parachichi hata kabla ya kuanza kuvuna miti ya mbao. 
Maana mparachichi ulioandaliwa kitaalam huchukua miaka 3 hadi 4 kuanza kuvuna.
It's no joke that your attitude is your contol center. I want you to begin to see the word investment as something that starts with you.
When you invest in yourself and honor those things that you know and love, you can reap big rewards that will enrich your future. Focusing too much on the street is a waste of time and energy for those looking to be successful...! The law of cause and effect says that " there are specific causes of success and there are specific cause of failure"....
Sasa hapa nitajilaum mwenyewe nisipokazania hili wazo kutoka kwa Albert   No one to blame. Na kama alivyo sema Albert kwenye kitabu chake kwamba MAFANIKIO NI HAKI YANGU, Lakini uchaguzi unabakia mikononi mwangu. 
Na amini usiamini hii slogan yangu ya go big or go home imekuja kuwa funzo kubwa sana kwenye familia yetu.  Asante sana Rose Ambali Kwa kunihimiza kila siku. Go Big Or Go Home.

 
Previous
Next Post »