.

Wengi Wameniambia Kwamba Zinawapa Moto Wa Kukazania Malengo Yao.




Go Big Or Go Home...! Rafiki zangu wengi walinipigia Simu na kuniandikia jumbe fupifupi, wakiniomba niwapatie Tisheti Zenye hii Slogan ya "Go Big Or Go Home" Wengi wameniambia kwamba zinawapa moto wa kukazania Malengo yao. Hata kama mtu anajisikia uvivu akikumbuka hii slogan anapata nguvu ya kusimama. Zinapatikana sasa wasiliana na Mona Jona Afisa Masoko wetu 0715812572.Mwandikie Ujumbe mfupi atakuelekeza jinsi ya kupata tisheti yako. Nilipokea maoni ya kufanya malekebisho, nitayafanyia kazi. Asanteni sana sana. To me life is a classroom.Dream Beyond, be your own aspiration. The Choice is up to you nobody else. Go Big Or Go Home..

Previous
Next Post »