.

Njia Iendayo Kwenye Mafanikio Ni Nyembamba (2)


Na: Paul Masatu. Dar

Tulianza kuangalia somo letu hivyo, na tulisema hii safari ya mafanikio inahitaji kulipa gharama, the journey is not smooth, "Njia ni nyembamna iendayo kwenye mafanikio, na wapitao humo ni wachache". Nilazima kulipa gharama kama za kujitoa, kuvumilia, kujizuia n.k. Kipengengele cha
mwisho tulicho kiangalia kwenye sehemu yetu ya kwanza ni tabia common ambazo zinapatikana to most successful people, tulianza kuzungumzia tabia ya kwanza ambayo ni " delayed gratification" leo nataka tuendelee na tabia ya pili.
b) Tabia ya pili ambayo utaiona kwa watu wengi waliyo fanikiwa " Long term visionary".
Watu wengi waliyo fanikiwa ni watu wanao angalia mbali, matukio ya muda mfupi yanayo tokea kwenye maisha yao hayawezi kuwaondoa kwenye truck ya mafanikio kwasababu wanaona mbali, wanauwezo wa kuona mwisho wao tangu mwanzo, ule uwezo wa kuona ile award, ile glory, ile life style watakayo kuwanayo one year to come, or  five years, ten years, wanapata nguvu ya kujizuia, nguvu ya kuvumilia, they can do whatever they required to do ili kufanikisha malengo yao.
Kwenye hii safari ya mafanikio, moja kati ya gharama unazotakiwa kulipa ni kushugurika na namna yako ya kufikiri, you must constantly renew your mind,  ufahamu wako unabidi uboreshwe mara kwa mara,  " Msiwe wajinga, bali mjue nini yawapasayo kufanya"  inabidi ulipe hii gharama ya kufanya upya katika nia zenu(akili yako, ufahamu wako namna yako ya kufikiri).
Moja kati ya vikwazo vikubwa vya kufanikiwa kwa watu wengi ni fears of failure and fear of succes, hofu ya kusindwa na hofu ya mafanikio.
Na ukichunguza sababu hasa kwanini kunakuwa na upinzani?  Utagundua huu upinzani chanzo chake ni psychological factor, deep inside your heart/mind especially kwenye subconscious mind kunakuwa na hofu(fears) ambazo zimejichimbia ndani kabisa, na the most two common fears zinazo sababisha shida yote hii ni fear of failure na fear of success.
Unaogopa kushindwa na unayaogopa mafanikio, sasa sababu au chanzo cha hizi hofu ni nini? Mimi siwezi kujua, lakini inawezekana ulishawahi ku experience matokeo fulani kwenye maisha yako, ambayo matokeo yake wewe kwa kujua au kutokujua, ukaruhusu hiyo message ikazama ndani ya moyo wako, ikatengeneza limitations or unbelief kwenye hilo eneo, kiasi ambacho any actions unazochukua kinyume na hiyo belief, your subconscious mind inatengeneza defensive mechanism kwa kuibua vitu ndani yako ambavyo vinakuzuia usiendelee kufanya kinyume na kile unacho amini, vitu hivyo au mambo hayo yanaweza yakawa in terms of tabia fulani fulani, yaani unapokuwa umeshaanza kuchukua hatua kufanya jambo kuelekea kutimiza lengo lako, tabia fulani zinaweza kujitokeza ndani yako, kama vile unajisikia kuahirisha tu mambo, yaani ile nguvu ya kutaka kuahilisha inakuwa kubwa kuliko nguvu ya kuendelea kuchukua hatua kuelekea kwenye lengo lako, au tabia kama ya uvivu, au your subconscious mind inawa attract watu ambao watakupa ushauri kinyume na hatua unazo chukua kiasi ambacho unafikia hali unakata tamaa, au ndani yako kunaibuka mitazamo hasi tu kuhusu hizo hatua unazo chukua, labda utakumbuka jinsi ulivyo shindwa last time, au kama siyo wewe basi utakumbuka watu fulani ambao walishawahi kufanya hayo unayo yafanya wewe lakini wakashindwa.
Hayo yote ni matokeo ya ile nguvu inayo tengenezwa na subconscious mind, kukuzuia usifanye vitendo kinyume na kile unacho amini.
Sasa you have to pay the price kuzishinda hizi hofu.
Nitaendelea.....
Paul Masatu
Nitaendelea


 
Previous
Next Post »